WELCOME !

THANK YOU FOR VISITING THIS SITE. I HAVE BEEN USING BOTH SWAHILI AND ENGLISH LANGUAGE TO EXPRESS ISSUES - I HAVE ATTACHED ENGLISH VERSION TO SOME OF THE SWAHILI NEWS/STORY AT THE END.

Tuesday, 17 April 2018

TASKRABBIT YAKIRI KUDUKULIWAKWA UFUPI: TaskRabbit imekua muhanga wa uhalifu mtandao – IKEA, Imethibitisha. Hii ni katika muendelezo wa Programu tumishi (Applications) na huduma zingine za kimtandao kuingiliwa na wahalifu mtandao ambapo taarifa za watu zimejikuta katika mikono isiyo salama.
---------------------------------
TaskRabbit iliyo anzishwa mwaka 2008 na Bi. Leah Busque iliyokua na madhumuni ya kutoa ajira zisizo rasmi kwa watu ambapo ilinunuliwa na IKEA mwaka 2017. Imekua ikitoa huduma zake kwa kujitegemea ndani ya mjumuiko wa makampuni ya nayo milikiwa na IKEA.

Program tumishi hiyo imekua ikitumiwa Zaidi na Raia wa Uingereza na maeneo mengine kujitafutia ajira zizizo rasmi kama kazi za ndani, kazi za bustani na nyinginezo ambapo wateja wa program tumishi hiyo na huduma za kimtandao zinazo shabiana na program tumishi hiyo imekua ikikusanya taarifa za watafuta ajira na wanao tafuta wakuwafanyia kazi hizo.

Mjadala wa wanausalama mtandao umeeleza taarifa binafsi nyingi za wateja zimekua zikikusanywa na sasa zimeingia mikononi mwa wahalifu mtandao. Prorgram tumishi pamoja na tovuti zimefungwa kwa muda kufuatia tukio hili.

Friday, 16 March 2018

EGYPT LAUNCHES NEW DIGITAL FORENSICS LABIN BRIEF: The Government of Egypt has announced that it is setting up a specialized digital forensic lab for Intellectual Property as part of its enforcement schemes of combating software piracy.

---------------------------------------

The new lab, the first of its kind in the MENA region, is mainly designed to resolve business software and internet-based piracy cases. It authentically recovers data from digital devices and unearths new fraud techniques.


The latest measures applied aim to enhance the investigative capabilities and ease the digital forensic evidence acquisition, analysis, and reporting.


Saturday, 3 March 2018

URUSI YAKANA KUISHAMBULIA KIMTANDAO UJERUMANIKWA UFUPI: Mifumo ya kimtandao katika baadhi ya wizara za serikali ya Ujerumani ilikumbwa na udukuzi uliopelekea kuibiwa kwa taarifa kadhaa huku baadhi ya vyombo vya habari vimeishutumu Urusi dhidi ya shambulizi hilo la kimtandao. Nae waziri wa Ujerumani wa maswala ya uchumi akieleza hawana uhakika kua Urusi imehusika na shambulizi hilo. Aidha, Urusi  imekana kuhusika na shambulizi hilo.
------------------------------------------

Mataifa makubwa yenye uwezo wa kimtandao yamekua yakishutumiana panapo tokea mashambulizi mtandao kwenye mataifa hayo. Urusi, Uchina na Korea ya Kaskazini wamekua wakishtumiwa Zaidi na mataifa ya Ulaya na marekani.

---------------------
TAARIFA: Tume ya TEHAMA ya nchini Tanzania imekaa kikao chake cha kwanza mahsusi kujadili maswala ya usalama mtandao Nchini ambapo mengi yalipata kuangaziwa na lengo kuu limekua ni kuhakiki tunapata taifa salama kimtandao.
---------------------

Ujerumani Hivi karibuni imekumbwa na shambulizi mtandao katika wizara zake mbili hadi sasa ambao umepelekea taarifa kadhaa za wizara hizo kupotelea mikononi mwa wahalifu mtandao.

Monday, 12 February 2018

INVESTIGATION ON WINTER OLYMPICS CYBER-ATTACK HAS BEGUNIN BRIEF: Following the cyber-attack on Winter Olympics, security teams and experts from South Korea's defence ministry, plus four other ministries, formed part of a taskforce investigating the shutdown.
----------------------------
The official Winter Olympics website was taken down after being hit by a cyber-attack (Denial Of Service attack, DOS), officials have confirmed.

The site was affected just before the beginning of the opening ceremony in Pyeongchang, South Korea.

Internal internet and Wi-Fi systems crashed at about 7:15 pm (1015 GMT) on Friday, though operations were restored about 12 hours later - Games organisers said.

However, a spokesman said that the International Olympic Committee would not be commenting on who might have been behind the incident.

Friday, 2 February 2018

ANGALIZO KWA MABENKI DHIDI YA UHALIFU WA ATM JACKPOTING


KWA UFUPI: ATM jackpotting imgonga Hodi Nchini Marekani ambapo imesababisha upotevu mkubwa wa fedha zinazo kadiriwa kuzidi kiasi cha Dola milioni moja hadi sasa.
----------
Kumekua na aina nyingi za uhalifu mtandao unaolenga mashine za ATM ambao umekua ukiathiri mabenki mengi maeneo mengi duniani.


Mataifa ya Afrika yamesha kumbwa na changamoto za uhalifu katika mashine za ATM kama vile “card skimming” ambapo wahalifu mtandao mara kadhaa wamekua wakiripotiwa kughushi kadi za ATM zilizopelekea upotevu wa fedha kupitia mashine za ATM.